Hawza/ Ayatullah al-Udhma Wahid Khorasani, ambaye kwa siku kadhaa zilizopita alikuwa amelazwa katika hospitali moja mjini Qom Iran, amefariki dunia muda mfupi uliopita.