-
DuniaRaisi wa Umoja wa Maulama wa Muqawama: Msimamo wa Muqawama na Uaminifu Wake kwa Silaha Ni wa Kutosheleza Zaidi Kuliko Msimamo Dhaifu wa Serekali na Unaopingana
Hawza/ Sheikh Maher Hammoud amesema: “Wakati wanataka Muqawama, pamoja na manufaa yote uliyoyaleta Lebanon, utoe silaha zake kwa ajili ya mradi wa kubuni serikali imara, ni sawa na kuuza chuma…
-
DuniaWanazuoni wa Sunni wa Lebanon Wameunga Mkono Muqawama kikamilifu
Hawza / Sheikh Ahmed Al-Qattan, kiongozi wa dini wa Sunni na Rais wa Jumuiya ya “Qoulna wa Al-Amal” nchini Lebanon, amesema: “Tunasema kwamba silaha zilizopo Lebanon na sehemu yoyote ambapo silaha…
-
DuniaMjumbe wa Kundi la Muqawama: Muda ya kuwa Uvamizi unaendelea, Muqawama nao Utaendelea Kuwepo
Hawza/ Ali Al-Miqdad alisisitiza kuwa: “Silaha za Muqawama hazitawasilishwa, zina idhaminj Lebanon dhidi ya maadui wa Kizayuni, na jitihada zote za kudhoofisha nafasi zao zitaangukia
-
DuniaAl-Khazali: Serikali ya Kisaudi ina amiliana na mahujaji wa Kiiraqi kwa kuwabagua kimadhehebu
Hawza / Mbunge wa Bunge la Iraq aliituhumu mamlaka ya Kisaudi kwa kuendelea na tabia za kibaguzi kwa mahujaji wa Kiiraqi
-
DuniaOfisi ya Ammar Hakim: Uongo Kuhusu Msimamo wa Tofauti wa Ammar Hakim Kuhusu Vikosi vya Hashd al-Shaabi Haukubaliki Kwa Njia Yoyote
Hawza/ Ofisi ya vyombo vya habari ya Rais wa Muungano wa Vikosi vya Kitaifa vya Iraq imekataa uvumi unaosema kwamba Sayyid Ammar Hakim, kiongozi wa muungano huo, ana msimamo tofauti kuhusu vikosi…