-
Hadithi ya leo:
DiniKuwa hivi kwa watu
Kuwa mlaini kwa watu, kuwa na maneno mazuri na kutana na ndugu yako kwa bashasha na tabasamu.
-
"Kuielekea Jamii iliyo Bora": (Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Imaam Mahdi (a.s)) - 9
DiniFalsafa ya Ghaiba (kutoweka) kwa Imam Mahdi (a.s)
Kwa hakika, ni kwa nini Imam yupo katika pazia la ghaiba, na ni sababu ipi iliyopelekea watu kunyimwa baraka za kudhihiri kwake?
-
Makamu wa Rais wa Baraza la Ulama wa kishia Pakistan:
HawzaUmoja na mshikamano ndiyo njia ya uokovu kwa umma wa kiislamu
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Arif Hussein Wahidi, katika mkutano wa kitaifa wa umoja, alitaja umoja wa umma wa kiislamu kuwa ndio njia pekee ya kukabiliana na maadui, na akataka ujumbe wa Qur’ani…
-
Mudiri wa Ofisi ya Fiqhi Mu'asir katika Hawza ya Qom:
HawzaTija za elimu zilizo zalishwa na wakubwa wa Hawza ni hazina yenye thamani kubwa kwa fiqhi ya zama hizi
Hujjatul Islam wal-Muslimin Ithnā‘asharī amesema: Bila shaka, tija za elimu zilizoachwa na Ayatollah Būrūjirdī (r.a), Imamu Khumaynī (r.a), Ayatollah Hā’irī (r.a), na wakubwa wengine, ni hazina…