Hawza/ Ihaab Hamade alisema: Asipatikane yeyote wa kuwahadaa kwa vitisho na kuvunja mori; muqawama wetu ni imara na una nguvu.