-
Mafunzo Katika Qur'an:
DuniaIli Kuokoka na Majuto ya Siku ya Kiyama Tufanye Nini?
Hawza/ Kila wakati unaopita bila kumkumbuka Mwenyezi Mungu, huacha majuto marefu; na kumbukumbu hii si kwa ulimi pekee, bali lazima ionekane na idhihirike pia katika vitendo.
-
DuniaKwa Nini Safari ya Kamanda wa Jeshi la Lebanon Kuelekea Marekani Ilifutwa?
Hawza/ Gazeti la “An-Nahar” liliripoti kuwa moja ya sababu za kufutwa kwa safari ya Kamanda wa Jeshi la Lebanon kwenda Marekani ilikuwa ni kupinga kwake kushiriki mkutano uliokuwa umepangwa kufanyika…
-
DuniaMbinu Yenye Ufanisi ya Ayatollah Bahjat kwa Ajili ya Kupata Unyenyekevu Moyoni Wakati Unaswali
Hawza/ Kushikamana na kuswali Swala mwanzo wa wakati huleta unyenyekevu moyoni bila kipingamizi. Kufungamana tu na wakati wa Swala ni mazoezi ya kupata unyenyekevu moyoni ndani ya Swala, na kwa…
-
DuniaKipi Kilijiri Katika Mazungumzo Kati ya Sheikh Al-Khatib na Papa Laon?
Hawza/ Makamu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Waislamu wa Kishia wa Lebanon alisema katika mazungumzo yake na Papa: Utamaduni wetu wa kiroho umejengwa juu ya undugu wa kibinadamu; nasi…
-
Mjumbe wa Kambi ya Muqawama:
DuniaUtawala wa Kizayuni Umeshindwa Kufikia Malengo yake Nchini Lebanon
Hawza/ Ihaab Hamade alisema: Asipatikane yeyote wa kuwahadaa kwa vitisho na kuvunja mori; muqawama wetu ni imara na una nguvu.
-
DuniaJenerali mstaafu wa Israel: Jeshi Linakabiliwa na Mgogoro Mkubwa Zaidi wa Rasilimali Watu Katika Historia Yake
Hawza/ Ya‘qub Brick, katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la Kizayuni la Maariv, ametangaza kwamba katika miezi ya hivi karibuni maelfu ya maafisa na sajenti wamekataa kuendelea na huduma…
-
DuniaIsrael Yatumia vyombo vya Habari Kama Nyenzo Dhidi ya Waislamu Ufaransa
Hawza/ Hivi karibuni kura ya maoni ilichapishwa nchini Ufaransa ambayo iliandaliwa kwa kuungwa mkono na Mayahudi na hatimaye Israel dhidi ya Waislamu wa Ufaransa, lakini nyaraka zilizopatikana…
-
DuniaMashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu Yafanyika Nchini Pakistan
Hawza/ Mashindano ya kimataifa ya usomaji mzuri wa Qur’ani Tukufu yamefanyika mjini Islamabad, Pakistan, kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka nchi 37 za Kiislamu duniani.