Jumatatu 3 Novemba 2025

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Jamii ya Leo Inayahitajia Sulhu Zaidi Kuliko wlKakati Mwingine Wowote

    Ayatullah al-‘Udhma Nuri Hamadani:

    DuniaJamii ya Leo Inayahitajia Sulhu Zaidi Kuliko wlKakati Mwingine Wowote

    Hawza/ Mtukufu Ayatullah Nuri Hamadani amebainisha kuwa: leo jamii ya Kiislamu inayahitaji sulhu kwa kiwango cha juu zaidi kuliko wakati mwingine wowote kwani mashetani na maadui hutafuta njia…

    2025-11-02 23:41
  • Kikao cha “Mkataba wa Amani wa Palestina; Ukiukaji na Wajibu wa Umma wa Kiislamu” chafanyika nchini Pakistan

    DuniaKikao cha “Mkataba wa Amani wa Palestina; Ukiukaji na Wajibu wa Umma wa Kiislamu” chafanyika nchini Pakistan

    Hawza, kikao kilichopewa jina “Mkataba wa Amani wa Palestina; Ukiukaji na Wajibu wa Umma wa Kiislamu” kiliandaliwa huku kundi la wanazuoni likishiriki, viongozi mashuhuri wa kidini na kijamii,…

    2025-11-02 23:29
  • Toleo la arobaini na nane la jarida “Dini na Uhusiano wa Kimataifa” limechapishwa; Kuanzia mwamko wa kiroho wa kidijitali hadi kurejea Rifā‘ī nchini Iraq

    DuniaToleo la arobaini na nane la jarida “Dini na Uhusiano wa Kimataifa” limechapishwa; Kuanzia mwamko wa kiroho wa kidijitali hadi kurejea Rifā‘ī nchini Iraq

    Hawza/ Toleo la arobaini na nane la jarida la kila mwezi “Dini na Uhusiano wa Kimataifa” limechapishwa kwa juhudi za Idara ya Mahusiano ya Kimataifa ya Vyuo vya Kidini kwa ushirikiano na Kituo…

    2025-11-02 23:23
  • Jihadi ya vyombo vya habari ni wajibu wa kisharia/ Somo la fiqhu ya vyombo vya habari lifundishwe hawza

    Ayatullah Ka‘bī katika hafla ya uzinduzi wa kitabu “Fiqhu al-Khabar”:

    DuniaJihadi ya vyombo vya habari ni wajibu wa kisharia/ Somo la fiqhu ya vyombo vya habari lifundishwe hawza

    Hawza/ Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza katika hafla ya uzinduzi wa kitabu Fiqhu al-Khabar, ameeleza kuwa fiqhi ya vyombo vya habari ni uwanja wa kimkakati kwa ajili ya kuelekeza…

    2025-11-02 23:09
  • Mpaka mwisho wa uhai tutailinda Palestina / Tuko tayari kwa aina yoyote ya mapigano

    Ujumbe wa wazi wa watu wa Yemen kwa Wazayuni:

    DuniaMpaka mwisho wa uhai tutailinda Palestina / Tuko tayari kwa aina yoyote ya mapigano

    Hawza/ Mandhari za uwanja katika mikoa ya Amran, Rima, Hajjah, Ma’rib, al-Mahwit, Ta‘iz na al-Bayda zinaonesha kuendelea kwa harakati za umma za Yemen, zinadhihirisha uaminifu kwa mashahidi na…

    2025-11-02 15:32

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom